Mfanyabiashara
tajiri Marekani Donald Trump, amesema anafikiri kutatokea fujo iwapo
ataongoza kwa wajumbe kisha chama chake cha Republican kitakosa
kumuidhinisha awanie urais.
Bw Trump alishinda mchujo katika
majimbo matatu zaidi, likiwemo jimbo la Florida mnamo Jumanne, ingawa
alishindwa katika jimbo jingine muhimu la Ohio.
Hatua yake ya
kushindwa Ohio huenda ikawawezesha wahafidhina wadhibiti wa chama cha
Republican, ambao hawajafurahishwa na mtazamo wake, kumpendekeza mgombea
mwingine kwenye mkutano mkuu wa kuidhinisha wagombea Julai. Mfuasi wa Donald Trump
Hayo yakijiri, Bw Trump amesema hatashiriki mdahalo katika runinga ya Fox News wiki ijayo akisema ametoshena na midahalo.
Katika
chama cha Democratic, Hillary Clinton ameimarisha uongozi wake na
kumshinda mpinzani wake wa pekee Bernie Sanders katika majimbo manne
yaliyofanya mchujo Jumanne.
Msanii mkongwe wa BongoFleva nchini Afande sele atangaza rasmi kujiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM) mwezi huu march mbele ya Rais Dkt. Maguf...Read more »
Mfanyabiashara maarufu kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Moise Katumbi ambaye sasa amejitosa kwenye ulingo wa siasa, anazindua chama chake a...Read more »
Image captionNkurunzinza amekuwa rais wa Burundi tokea mwaka 2005
Chama tawala nchini Burundi CNDD/FDD kimemtangaza Rais Pierre Nkurunzinza kama kion...Read more »
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeibuka kidedea katika uchaguzi mdogo wa ubunge Jimbo la Siha mkoani Kilimanjaro baada ya Tume ya Uchaguzi (Nec), ...Read more »
Haki miliki ya pichaGETTY IMAGESImage captionTrump ana handaki ndani ya nyumba yake ya Mar-a-Lago estate - lakini halina uhusiano wowote na yeye kuwa...Read more »
Post a Comment
aprieztmkrdezign
218168578325095
Emoticon
Click to see the code! To insert emoticon you must added at least one space before the code.
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.