| Mshambuliaji
wa Krc Genk,Mbwana Ally Samatta leo anaendelea kung'ara kwa timu yake
baada ya kuandika bao la kwanza dakika ya 24 ya kipindi cha kwanza dhidi
ya timu pinzani ya Oostende.Mpira ukiwa unaendelea na hivi sasa ni
mapumziko ila timu ya Krc Genk ilipata bao la pili dakika ya 39 kupitia
mchezaji wao Leon Bailey.Mpaka sasa Krc Genk 2-0 Oostend. |
Post a Comment