Mkali kutokea kundi la Wanaume Family, Chege Chigunda kaisogea hii
nyingine inayokwenda kwa jina la ‘Sweety Sweety Dance‘ ndani yake akiwa
amewashirikisha mastaa kama Runtown na Uhuru huku Kichupa kimetengenezwa
na directer kutokea Tanzania, anakwenda kwa jina la Pablo
Unaweza kuitazama hapa chini….
Post a Comment