Rais Jacob Zuma
Chama cha
Democtratic Alliance nchini Afrika Kusini kumeanzisha kampeni ya
kumuondoa rais Jacob Zuma madarakani baada ya mahakama ya kikatiba kutoa
uamuzi kuwa alikiuka katiba.
Mahakama ilipata kuwa bwana Zuma
alikataa kutii agizo kutoka kwa ofisi ya mwendesha mashtaka mkuu mwaka
2014 la kamtaka alipe pesa zilizotumika kuifanyia ukarabati nyumba yake
ya kibinafsi.Mamilioni ya madola yalitumika katika kile kilitajwa na serikali kuwa uimarishaji wa usalama. Marekebisho hayo yalishirikisha ukumbi,kidimbwi cha kuogelea na zizi la ngombe
Post a Comment