Ajali
Mbaya imetokea eneo la Tabata Matumbi, Ajali iliyohusisha Lori la
Ng'ombe na Daladala iliyo kuwa ikitokea Gongo la Mboto kuelekea Ubungo


Watu ambao idadi yao bado haijafahamika maramoja wanasadikiwa kufariki dunia na wengine kujeruhiwa kufuatia ajali iliyo husisha gari tatu likiwemo la basi la abiria lifanyalo safar zake Gongo la Mboto Simu2000, Lori lililobeba mchanga na Lori lililokuwa limebeba N'ombe lililokuwa linaelekea vingunguti hv leo Tabata Matumbi Dar es Salaam

Post a Comment