Wachezaji
wa timu ya Yanga, wakishangilia sambamba na mashabiki wao, baada ya
kufunga goli la pili dhidi ya timu ya Cercale De Joachim ya nchini
Mauritius, katika mchezo wao wa marudiano wa Mashindano ya Klabu Bingwa
Barani Afrika, Uliochezwa jioni ya leo kwenye uwanja wa Taifa, Jijini
Dar es salaam. Yanga imeshinda 2-0. Picha zote na Othman Michuzi.
Mshambuliaji
wa Yanga, Amissi Tambwe akiondoka na mpira na kumuacha Beki wa Timu ya
Cercale De Joachim ya nchini Mauritius, katika mchezo wao wa marudiano
wa Mashindano ya Klabu Bingwa Barani Afrika, Uliochezwa jioni ya leo
kwenye uwanja wa Taifa, Jijini Dar es salaam. Yanga imeshinda 2-0.
Post a Comment