Leo Feb 15 2016 Waziri wa Afya Ummy Mwalimu
alifika katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Dar, Lengo likiwa ni
kupokea vitanda na magodoro kutoka katika Bohari kuu ya dawa (MSD)
kufuatia agizo la Rais Magufuli kutaka Hospitali hiyo kuongezewa
vitanda, Lakini shughuli haikuishia hapo tu, akaligusia suala la upotevu
wa fedha karibia Bil 1.5 na baada ya hapo akaamua kufanya maamuzi.
Full stori nimekusogezea kwenye hii sauti hapa chini..
Post a Comment