Mtu wangu wa nguvu leo February 8 kama
wewe ni mpenzi wa kutalii sehemu mbalimbali millardayo.com inakupa fursa
ya kuzitazama sehemu 10 ambazo kama unapata time sio vibaya
kuzitembelea ni nzuri na zinavutia duniani, bara la Afrika ziko mbili
tu, yaani ni moja sema, ipo mpakani mwa Zambia na Zimbabwe. Cheki pichaz
hapa
1. Bagan, Myanmar
2. Li River, China
3. Zhangye Danxia Landform Gansu, China
4. Meteora, Ugiriki
5. Salar de Uyuni
6. Kisiwa cha Santorini, Ugiriki
7. Venice, Italia
8. Victoria Falls, Zambia/Zimbabwe
9. Geiranger Fjord, Norway
10. Halong Bay, Vietnam
Post a Comment