Whatsapp ni Nini?
WhatsApp ni huduma mazungumzo kati ya watumiaji wa simu kupitia internet.Zaidi ya watu milioni 900 wanaitumia huduma hii duniani kote.
Inapatikana kwenye iPhone , Android na Blackberry.
Unaweza Kufanya Nini Na WhatsApp?
- Kutuma ujumbe wa maandishi
- Kushiriki mawasiliano ya habari
- Kutumiana Picha na Video
- Kushiriki eneo la sasa
- Kushiriki redio na video
- Kuunda Vikundi
Unawezaje kufurahia WhatsApp BURE?
- Pakua WhatsApp
- Weka kwenye simu yako
- Jiunge na Kifurushi cha wiki au mwezi cha Xtreme au MiniKabang
- Anza kutumia WhatsApp - BURE bila kutumia kiasi chochote cha internet cha kifurushi chako
Jinsi ya Kujiunga?
Tigo-Tigo Xtreme -> Chagua kifurushi cha Wiki au Mwezi + FREE WHATSAPP
->MiniKabang ->Chagua bundle ya Wiki au Mwezi + FREE WHATSAPP
Pia, nunua laini mpya ya Tigo na utapata WhatsApp BURE kwa muda wa Wiki Moja
Post a Comment