Leo katika ligi daraja la tatu ngazi
ya mkoa katika kituo cha Liwale kulikuwa na mchezo mkali kati ya Mikukuyumbu
world soccer Vs Stand Worriers mchezo uliochezwa kwenye uwanja wa wilaya ya
Liwale.
Kwa kipindi cha kwanza kila timu ikianza kwa
mbwembwe ikitafuta bao mapema lakini bahati ilikuwa kwa timu ya mikukuyumbu katika
kipindi cha kwanza hiko iliongoza kwa kupachika bao 2 mabazo ziliofungwa na mchezaji mmoja Huseni Mchite namo dakika ya 36 na dakika ya 41
kipindi cha kwanza.
Katika kipindi cha pili stand
worriers kutoka mkoani Lindi waliweza kupata bao moja lililofungwa na Halfani
Musa namo dakika ya 90 Mpaka mchezo unamalizika matokeo yalikuwa Mikukuyumbu world
soccer 2-1 Stand worriers
Kesho hakuta kuwa na mchezo wowote au kutakuwa na mapumziko
BOFYA HAPA KUPATA MATOKEO YA MECHI ZA UFUNGUZI LIGI DARAJA YA TATU NGAZI YA MKOA KATIKA KITUO CHA LIWALE
BOFYA HAPA KUPATA MATOKEO YA MECHI ZA UFUNGUZI LIGI DARAJA YA TATU NGAZI YA MKOA KATIKA KITUO CHA LIWALE

Post a Comment