Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akizungumza na Ujumbe kutoka Olam Tanzania Limited wakati ujumbe huo
ulipomtembelea Makamu wa Rais Ofisini kwake Ikulu Dar es salaam leo
Februari 04, 2016.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
katikati akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe kutoka Olam Tanzania
Limited wakati ujumbe huo ulipomtembelea Makamu wa Rais Ofisini kwake
Ikulu Dar es salaam leo Februari 04, 2016.(Picha na OMR).
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment