Blogger
wa Maganga One na mdau wa Liwale Blog ambaye alikuwa uwanjani kukulete kinachoendelea nae
alikuwepo uwanjani kumpa sapoti ya nguvu Mbwana Ally Samatta.
Magoli
ya Genk yalifungwa na Nikos Karelis dk 9,Na dakika ya 18 Wassland
walisawazisha goli kupitia mchezaji wa Zihno Gano.Dk 26 Genk walipata
goli la 2 kwa penati na mfungaji akiwa Neeskens Kebano,Leon Bailey
aliandika goli la 3 kwa upande wa Genk,Nikos Karelis akaendeleza kucheka
na nyavu kwa goli la 4 kwa upande wa Genk,wakati Thomas Buffel akipata
goli la tano na mwisho wa yote Christian Kabasele akaifungia kurasa timu
yake ya Genk baada ya kumalizia goli la 6 kwa Genk,hivyo mpaka mwisho
wa mpira Krc Genk 6-1 Waasland Beveren.
26'
Neeskens Kebano (pen.)
2 - 1
70'
Jonathan Buatu Mananga
84'
Christian Kabasele
6 - 1
|
Post a Comment