stend kuu ya masasi yasafishwa safi hii leo
mazingira ya stendi kuu yakionekana yakiwa masafi hii leo
mazingira ya stendi kuu yakionekana yakiwa masafi hii leo
Stendi Kuu ya Mabasi yaendayo Mikoani Wilayani Masasi yaendelea Kuboreshwa kwa kufanyiwa Usafi wa Hali ya juu.
Leo hii Baada ya Kamera yetu kupita majira ya asubuhi ilikuta eneo hilo ambalo hapo jana lilikuwa limetapakaa Uchafu wa Kila aina likiwa Safi Kabisa.
Hii inaonesha kabisa Mkurugenzi wa halmashauri ya Mji wa Masasi
amedhamiria kuepuka aibu ambayo ilikuwa inakuja siku za usoni kwani eneo
hilo lipo katikati ya Mji huo hivyo kuonekana kirahisi na Kuleta Picha
mbaya.
Liwale Blog
inaipongeza Halmashauri ya Mji wa Masasi kwa hatua ambayo imelichukua jambo hili kwa
Umakini mkubwa hadi kufikia Kuweka Greda ambalo lilikutwa likifanya kazi
ya kuendelea kuweka Mazingira sawia katika Stend kuu hiyo.
ANGALIA VIDEO JINSI ZOEZI LA USAFI ILIPOFANYIKA HII LEO
KABLA YA LEO JANA HALI YA STENDI YA MASASI ILIKUWA HIVI
Post a Comment