0
 
Azam FC imepoteza mechi yake ya kwanza ya Ligi Kuu Bara baada ya kuchapwa bao 1-0.

Coastal Union kwa mara nyingine imeweka rekodi ya kuifunga timu ambayo ilikuwa haijafungwa hata mchezo mmoja.

Wiki mvili zilizopita, Coastal Union iliitwanga Yanga kwa mabao 2-0 na kuifanya ipoteze mechi yake ya kwamza ya ligi, Miraji Adam.

Lakini leo, Miraji Adam amefunga bao pekee lililoipa Coastal Union ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Azam FC ambao walikuwa wana viporo vya mechi mbili.

Post a Comment

 
Top