Ripoti kutoka Dodoma leo asubuhi ni hii ya ajali ya gari la mafuta lililodondoka na kulipuka katika eneo la Kibaigwa, hadi sasa hakuna taarifa kamili ya ajali hii. Endelea kukaa karibu na millardayo.com ili zikinifikia nikusogezee kwa wakati.
Gari la mafuta likiendelea kuteketea kwa moto
.
Wananchi wakishuhudia ajali
Post a Comment