0

 2
Mchezaji bora Afrika ,Mbwana Samatta akizungumza na waandishi wa habari Januari 9, 2016 katika Hotel ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam kuhusu tuzo aliyoshinda ya mchezaji Bora Afrika na kuwashukuru wapenzi, na wadau wa mpira wa miguu Tanzania waliojitokeza uwanja wa ndege wa JK Nyerere kumpokea (katikati), Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye, na kushoto Mkurugenzi wa Msaidizi wa maendeleo ya Michezo,Bi Juliana Yasoda.
5
Mkurugenzi wa Msaidizi wa maendeleo ya Michezo,Bi Juliana Yasoda (kushoto), akiteta jambo na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye wakati wa mkutano huo.

1
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akijibu maswali kutoka kwa waandishi wa habari wakati Mchezaji bora Afrika ,Mbwana Samatta akielezea tuzo aliyoshinda ya mchezaji Bora Afrika.
????????????????????????????????????
4
Waandishi wa habari wakiwa katika mkutano huo.
7
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye (kushoto), akiwa ameongozana na Mchezaji bora Afrika ,Mbwana Samatta wakiondoka mara baada yakumalizika kwa mkutano na waandishi wa habari katika Hotel ya Hyatt Regency Dar Es Salaam.
8
Mchezaji bora Afrika ,Mbwana Samatta akiwa na tuzo yake ya mchezaji Bora wa Afrika kwa Wachezaji wanaocheza ndani.
910
Mchezaji bora Afrika ,Mbwana Samatta akiwa kwenye gari la wazi na tuzo yake ya mchezaji Bora wa Afrika tayari kuelekea Escape One Mikocheni.
Picha zote na Philemon Solomoni-Fullshangweblog.

Post a Comment

 
Top