0

Siku chache zimepita toka taarifa zitufikie kuhusu ajali ya basi la abiria lililotumbukia mtoni eneo la Iyovi ambalo lina kona kali sana mkoa wa Iringa, taarifa nyingine ya huzuni inatufikia kutoka mkoa wa Njombe leo January 04 2016.
Ni taarifa ya ajali ya basi la abiria ambalo limegonga lori la mizigo kwa nyuma na kusababisha vifo vya watu wawili pamoja na wengine zaidi ya 20 kujeruhiwa.

Wapumzike kwa amani wote waliofariki, na majeruhi wapate ahueni mapema.
Hizi ni picha nne kutoka eneo la ajali nilizozipata Michuzi Blog
20160103232509
RR
TT
YY

Post a Comment

 
Top