Mhariri
Mtendaji wa magazeti ya serikali ya Daily News, Habari Leo na SpotiLeo,
Gabriel Nderumaki akifungua Kikao cha Baraza la Wafanyakazi jijini Dar
es Salaam jana kilichokuwa kinajadili Bajeti ya nusu mwaka wa fedha
2015- 2016.Kulia ni Katibu wa baraza hilo, Shafii Mpenda.
Wajumbe
wa Baraza la Wafanyakazi la Shirika la magazeti ya serikali ya Daily
News, Habari Leo na SpotiLeo, wakishiriki majadiliano wakati wa kikao
cha baraza la wafanyakazi kilichokuwa kinafanyika Dar es Salaam jana
kujadili Bajeti ya nusu mwaka wa fedha 2015- 2016 ya taasisi hiyo.

Post a Comment