Katibu wa
chadema wilayani Liwale mkoni Lindi,Ndugu,
Zidadu A. Matila anampongeza muheshimiwa Lathifah kigwalilo mbunge viti maalum kupitia jimbo la
Liwale (chadema) kwa kusaidia chama cha
mpira wa miguu wilayani Liwale (Lidifa) kuchangia kiasi cha shilingi
milioni moja (1,000,000) kwa lengo la kuodhi uwanja wa wilaya ili kufanyikisha
kufanyika kwa mashindano ya ligi daraja ya tatu ngazi ya mkoa yanayotarajia
kufanyika mwezi wa pili mwaka huu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

Post a Comment