Kasi ya Rais Magufuli na kila serikali yake inachokifanya kwa sasa
Waziri wa Wizara ya Afya na Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto
imemsimamisha kazi kaimu Mkurugenzi wa Taasisi ya Saratani ya Ocean
Road, Dk, Diwan Msemo ili kupisha uchunguzi pamoja na mambo mengine ili
kubaini mgongano wa kimaslahi ulioathiri utendaji wa taasisi hiyo chini
ya kaimu mkurungenzi huyo.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Waziri wa Afya , Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu imesema kutokana na ziara alizofanya Dk.Rais MAGUFULI inaonyesha kukosekana kwa dawa katika hospital za Serikali huku vituo vya afya binafsi vikiwa na dawa.
Taarifa ya Waziri hiyo imesema kuwa upungufu wa dawa umeendelea kujitokeza kwa karibu zaidi na baadhi ya wagonjwa walieleza kwa uchungu jinsi wanavyopata dawa kwa tabu hatazile wanazotakiwa wapate kwa bei ya ruzuku au zilezinatakiwa kutolewa bure na Serikali.
Bodi ya Taasisi ya Ocean Road imeagizwa kutafuta mtu atakayekaimu nafasi iliyoachwa wazi na Dk.Msemo anayefanyiwa uchunguzi.

Post a Comment