Mkurugenzi wa Tigo Pesa Tito Magesho akizungumza na mawakala wa Tigo Pesa
walioko Zanzibar wakati wa mkutano wa kuwakutanisha mawakala wa Zanzibar jinsi
ya kuendesha huduma hiyo kwa wateja wao
mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa skuli ya sekondari ya ben bella
Zanzibar
Mawakala
wa Tigo Pesa Zanzibar wakipata maelezo kutoka kwa mmoja wa Maofisa wa
Tigo Pesa baada ya mkutano wao wa kutowa elimu ya uliofanyika katika
viwanja vya Skuli ya BenBella Zenj.
Msimamizi
wa Tigo Pesa Kanada ya Zanzibar Mubaraka akibadilishama mawazo na
Mkurugenzi wa Tigo Pesa Tito Magesho, baada ya mkutano wao na Mawakala
wa Tigo Pesa Zanzibar uliofanyika katika viwanja vya Skuli ya Sekondari
Ben Bella Zanzibar.
Mkurugenzi wa Tigo Pesa Tito Magesho akizungumza na mawakala wa Tigo Pesa
walioko Zanzibar wakati wa mkutano wa kuwakutanisha mawakala wa Zanzibar jinsi
ya kuendesha huduma hiyo kwa wateja wao
mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa skuli ya sekondari ya ben bella
Zanzibar
Mkurugenzi wa Tigo Pesa Tito Magesho akizungumza na
mawakala wa Tigo Pesa
walioko Zanzibar wakati wa mkutano wa kuwakutanisha mawakala wa Zanzibar jinsi
ya kuendesha huduma hiyo kwa wateja wao
mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa skuli ya sekondari ya ben bella
Zanzibar
Afisa wa
Tigo Pesa Kanda ya Zanzibar Mbaraka akizungumza na Mawakala wa Tigo Pesa
Zanzibar wakati wa mkutano na Mawakala hao uliofanyika katika ukumbi wa
Skuli ya Sekondari ya Ben Bella Zanzibar: Source: Zanzonews.com.
Post a Comment