Mkurugenzi wa Yamoto Band na TMK Wanaume Family, Said Fella time hii anakualika kuangalia video ya vijana wake wapya wapo saba ambao wanaunda kundi jipya lililopewa jina la Salamu TMK.
Vijana hao wameachia video ya single yao mpya ya kwanza iitwayo NAFSI iliyotayarishwa na Pablo.
Post a Comment