0
 
Rais John Pombe Magufuli, amempongeza Kaimu Kamisha Mkuu wa (TRA), Dk. Philip Mpango, kwa kuvunja rekodi ya kukusanya kiwango kikubwa cha mapato nchini mwezi huu tofauti na miezi mingine iliyopita walipokutana Ikulu jijini DSM. Kwa mara ya kwanza, mwezi huu TRA imekusanya mapato mengi zaidi ambayo ni Sh. trilioni 1.3. Wastani wa ukusanyaji mapato katika kipindi cha hivi karibuni kabla ya Rais Magufuli kuingia madarakani ulikuwa takribani Sh. bilioni 849.

Kwa kasi hii ya ukusanyajji mapato, picha gani unaipata kwa nchi yako pendwa Tanzania?

Post a Comment

 
Top