0

baadhi ya wanachi akishiriki zoezi la usafi Liwale mjini
Leo ni siku ya usafi wilayani Liwale mkoani Lindi wamejiwekea utarabu wa kufanya usafi kila juma la mwisho la mwezi wananchi,wafanyabiashara na wafanyakazi hujumuika pamoja kwa kufanya usafi katika maeneo yao.

 hali ipo hivi


Lakini baadhi ya nyumba za watumishi hapa Liwale mjini zimeonekana kuwa na mazingira machafu,mwandishi wetu alitembelea baadhi ya nyumba za watumishi na kubaini mazingira machafu kama nyumba LDC/LD/LWL/BLD/025 A, LDC/LD/LWL/BLD/026 A na LDC/LD/LWL/BLD/030 A zilizopo mtaa wa MAJUMBA SABA katika kijiji cha Likongowele kata ya Likongowele Wilayani Liwale. 

Post a Comment

 
Top