Jeshi la polis wilayani liwale kwa kushirikiana na wananchi baada
ya msako mkali wamefanyikiwa kumkamata Limu
Punda mtuhumiwa huyo aliyetenda kitendo cha kikatili namo decemba 1,mtuhumiwa alikamatwa katika mashamba ya
kajiji cha Mpengele kata ya Makata tarafa ya Mkata wilayani Liwale mkoani Lindi
namo majira ya saa 2 usiku jana desemba 2.
Kamanda wa polisi wilayani Liwale Raphael Mwandu alisema
taarifa walipata kutoka kwa wasamilia wema baada ya muona Limu Punda akiwa
amechoka baada ya kutembea umbali mrefu na kukosa chakula ndipo walipotoa
taarifa kituoni hapo na polisi kwenda kijijini huko na kufanyikiwa kumkamata na sasa
mtuhumiwa yuko mahabusu.

Post a Comment