Russell Westbrook alitupia points 33 wakati Kevin Durant akitupia kikapu cha ushindi. Kwenye game ngumu ambayo ilisha kwa Thunders kushinda kwa vikapu 100-99, kama kawaida kwenye courtside kulikua na mastaa wengine wakiangalia game hiyo.
Mechi hii ilihudhuliwa na rapper Drake na boxer Floyd Mayweather. Kwenye position aliyokaa Floyd Mayweather aliweza kuona jinsi duos Russell na Durant wakishangilia kikapu cha ushindi.
Drake ni shabiki mkubwa wa club ya Toronto ambayo inashiriki kwenye ligi hiyo ya NBA.
Post a Comment