Filamu ya
Kiswahili iliyotengenezwa na waswahili waishio Holland katika
kuendeleza mila,desturi na sifa za Kiswahili popote duniani. Hii ni
filamu ya majaribio katika utengenezaji wetu wa filamu, tuna matumaini
mtaipokea vizuri na tusameheane kwa mapungufu mtayoyaona
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment