HABARIZAHIVIPUNDE:Watu wasio julikana wamechoma moto kituo cha Hits Fm Radio na kumjeruhi mtangazaji wa kituo hicho tukiohilo limetokea jana usiku majira ya saa 7 usiku.
Kundi la watu wasiojulikana wenye silaha usiku wa kuamkia leo walivamia na kuiteketeza kwa moto studio ya kurushia matangazo ya kituo cha radio cha kibinafsi cha Hits FM kilichopo eneo la Migombani, jimbo la Kikwajuni visiwani Zanzibar.
Post a Comment