NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Wizara Miundombinu na
Mawasiliano Zanzibar Mhe: Tahir Abdalla akizuwiya kazi ya Uchimbaji wa mashimo
kwa ajili ya kusimamisha nguzo za kampuni ya Simu ya Hallo tell, baada ya
kampuni hiyo kukiuka taratibu za uwekaji wa nguzo hizo.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
WATENDAJI wa Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano
Pemba, kulia ni Afisa mdhamini wa Wizara hiyo Hamad Ahmed Baucha mwenye
karatasi, kushoto ni Injia mkaazi wa Wizara hiyo Khamis Massoud akiwaonyesha
kitu, wakati walipokuwa wakikagua moja ya mikataba ya kmpuni ya simu ya Hallo
Tell, baada ya kusimamisha kazi ya uchimbaji wa mashimo kwa ajili ya uwekaji wa
nguzo.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
Post a Comment