Waziri wa ulinzi wa Marekani,Ashton Carter, amezikosoa sera za Urusi kwa kutoheshimu sheria za kimataifa.
Carter ameikashifu Moscow kwa kukiuka makubaliano ya kimataifa.
Akizungumza
katika warsha moja ya maswala ya ulinzi huko California, aliilaumu
Moscow kwa kukiuka uhuru wa Ukraine na Georgia, na kujaribu kudunisha
mataifa ya Baltic.
Aidha Marekani yazikosoa sera za Urusi
Kinacho muudhi sana kuwa Urusi ni kama inachochea vita vya kinyuklia.
Bwana
Carter amesema pia kuwa, Marekani haina haja ya kupigana na Urusi,
lakini kile inachofanya ni kuweka majeshi yake tayari ilikuizuia
uchochezi wa Urusi.
Post a Comment