sheikh ponda aachiwa huru
sheikh ponda (aliyevaa kazu nyeupe) aachiwa huru
Kesi iliyokuwa inamkabili Sheikh Ponda Issa Ponda imeomwa wakati huu na hakimu mkazi mahakama ya Morogoro kumwachia huru
Baada ya kusoma maelezo yote ikiwemo ya awali, ushahidi kwa
pande zote mbili za mawakali wa serikali na waale wanaomtetea Sheikh
Ponda, hakimu alikuwa na kazi ya kutafsiri vifungu vya sheria na kutoa
fursa ya kusoma hukumu kama Sheikhe Ponda atakuwa na hatia ama laaa.
Endelea kufuatilia ili kujua nini kinafuata
Post a Comment