Madereva wa daladala mkoani Morogoro wamesitisha kutoa huduma ya usafiri katika mji huo na kufanya mgomo wa pamoja kwa kile wanacholalamikia kuwa ni kupinga madereva wenzao kukamatwa na kuzuiliwa kituo cha Polisi zaidi ya siku 6 sasa bila kupewa dhamana wala kufikishwa Mahakamani.
CHANZO:RADIOONE
Post a Comment