0

China imeilaumu Japan kwa kukiuka katiba na
kupitisha sheria za ulinzi , ambazo zitairuhusu
kupeleka jeshi lake kupigana vita nchi za
ng'ambo kwa mara ya kwaza kabisa tangu
vimalizike vita vya pili vya dunia.
Wizara ya ulinzi nchini china inasema kuwa
Japan inastahili kujifunza kutokana na
historia na kulinda usalama wa majirani zake.
Marekani , uingereza na Australia ,
wamekaribisha mabadiliko hayo ambayo
yatairuhusu Japan kutoa mchango mkubwa
katika oparesheni za kimataifa za kulinda
amani.

Post a Comment

 
Top