Mratibu wa wilaya Ali Ligai akifungua mafunzo ya utafiti wa
Uwezo
Mratibu wa mashirika Mwamvuli wilaya Liwale mkoani Lindi,Ali
Ligai akifungua mafunzo ya siku mbili ya utafiti wa UWEZO katika ukumbi wa Tengeneza Hall leo.
mafunzo hayo yatahusu utafiti wa watoto wenye umri wa miaka
7-14 wanaosoma shule za msingi darasa la pili ili kuwapima kama wanauelewa wa
kujua kusoma na kuhesabu.
Mahojaji wa kijiji wakisoma mkataba watakao jitolewa mara
baada ya kufunzu mafunzo
UWEZO ni neno la kiswahili lenye maana ya kipawa/umahiri shirika hili linafanya kazi kote Afrika
masharika (Kenya ,Tanzania na Uganda) inatathmini watoto katika stadi za msingi
wa kusoma na kuhesabu.
Post a Comment