0
Shirika la Utangazaji Tanzania linapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kuanzia tarehe 06 Agosti 2015 hadi tarehe 11 Agosti, 2015 kuwa mchakato wa kuajiri umekamilika.
Orodha ya majina ya waliopata nafasi za kazi ni kama yanavyoonekana katika tangazo hili. Wote waliochaguliwa wanatakiwa kuripoti tarehe 28 na 31 Agosti, 2015 katika Ofisi ya Shirika la Utangazaji Tazania (TBC) Makao Makuu zilizoko barabara ya Nyerere wakiwa na yafuatayo:-
  1. Vyeti halisi (Originals Certificates) vya masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya ajira;
  2. Vyeti vya kuzaliwa;
  3. Picha nne za passport size za hivi karibuni.
Technician II
  1. Baraka Toyi
  2. George Katenga
  3. Josephat Njela
  4. Kaila Sahani
  5. Dauson Elias
ICT Officer II
  1. Timothy Makenya
Prcurement Management Officer II
  1.  Cartas Komba
Records Management Officer II
  1.  Eric Christian

Driver II
  1. Omary S. Muhodeh
  2. Godlisten O. Temu
Aidha, wale ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba wakati mwingine nafasi za kazi zitakapotangazwa.

CLEMENT MSHANA
MKURUGENZI MKUU – SHIRIKA LA UTANGAZAJI TANZANIA

Post a Comment

 
Top