0


Wakala wa Manunuzi mkoa wa Lindi GPSA wakiwa Hospitali ya mkoa wa Lindi Sokoine kusaidia wagonjwa misaada ya vifaa  mbalimbali , ikiwemo, sabuni, maziwa, na nguo 
 Meneja wa wakala wa Manunuzi mkoa wa Lindi  GPSA akimkabidhi mama   Mohamedi aliyelazwa katika hospitali ya Sokoine Msaada wa vifaa mbalimbali
Wafanyakazi wa hospitali ya mkoa Lindi  sokoine pamoja wafanyakazi wa wakala wa Manunuzi GPSA wakiwa kwenye picha ya pamoja

Post a Comment

 
Top