0
Viongozi wa Ufaransa na
Ujerumani wamezitaka nchi za
Umoja wa Ulaya kufanya kazi
pamoja kuweza kukabiliana na
tatizo la wahamiaji.
Katika taarifa yao ya pamoja kwa
vyombo vya habari mjini Berlin,
Kansela Angela Merkel amesema
kanuni zilizokuwepo sasa kama
vile kuwasajili wahamiaji,
hazifuatwi.
Kwa upande wake Rais wa
Ufaransa Francois Hollande
ametaka mgawanyo sawa wa
wanaoomba hifadhi, kati ya
mataifa wanachama.
Kansela wa Ujerumani na Rais
wa Ufaransa

Post a Comment

 
Top