Sarafu ya Afrika Kusini ,Rand,
imeporomoka hadi kiwango cha
chini zaidi ikilinganishwa na ile ya
dola na hivyobasi kusababisha
hasara kubwa katika miezi 19
huku kukiwa na wasiwasi kuhusu
ukuwaji mdogo wa uchumi wa
China.
Sarafu hiyo ilishuka na
kubadilishana kwa 14 dhidi ya
dola .
Ni sarafu ambayo imeathiriwa
vibaya zaidi miongoni mwa
masoko 25 yanayoinuka baada ya
wawekezaji kuuza mali zao zilizo
hatarini zaidi kutokana na
wasiwasi wa ukuwaji wa uchumi
wa taifa la uchina ambao ni wapili
kwa ukubwa duniani.
imeporomoka hadi kiwango cha
chini zaidi ikilinganishwa na ile ya
dola na hivyobasi kusababisha
hasara kubwa katika miezi 19
huku kukiwa na wasiwasi kuhusu
ukuwaji mdogo wa uchumi wa
China.
Sarafu hiyo ilishuka na
kubadilishana kwa 14 dhidi ya
dola .
Ni sarafu ambayo imeathiriwa
vibaya zaidi miongoni mwa
masoko 25 yanayoinuka baada ya
wawekezaji kuuza mali zao zilizo
hatarini zaidi kutokana na
wasiwasi wa ukuwaji wa uchumi
wa taifa la uchina ambao ni wapili
kwa ukubwa duniani.
Rand ya Afrika Kusini
Post a Comment