Timu ya taifa 'Taifa Stars' imejikuta
ikirudia yale yale yaliyofanyika dhidi
ya Misri na kuruhusu kufungwa
magoli matatu kwa biladhidi ya
Uganda katika mchezo wa awali
kusaka nafasi ya kucheza michuano ya
CHAN
Magoli mawili ya mshambuliaji Erisa
Sekisambu yanaweza kuwa
yamehitimisha historia ya kocha
Mholanzi, Mart Nooij katika timu ya
taifa ya Tanzania, Taifa Stars baada ya
kufungwa 3-0 na Uganda usiku huu
Uwanja wa Amaan, Zanzibar.
Mchezo huo wa kwanza Raundi ya
Kwanza kufuzu michuano ya Ubingwa
wa Mataifa ya Afrika (CHAN) Rwanda
mwaka 2016, Sekisambu alimtungua
kipa Deo Munishi ‘Dida’ bao moja kila
kipindi, wakati bao la tatu lilifungwa
na Farouk Miya dakika ya 89.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment