Simba imefanikiwa kumnasa beki wa kushoto wa Azam FC, Samir Hajji Nuhu na kumsainisha mkataba jijini Dar es Salaam, jana usiku.
Beki huyo amesaini mkataba wa kuichezea Simba kwa mwaka mmoja.
Beki huyo aliyewahi kuichezea Taifa Stars amesaini mkataba huo mbele ya mjumbe wa kamati ya usajili ya Simba, Collins Frisch.
Post a Comment