0




Breaking news Basi la kampuni ya gamet limepata ajali maeneo ya kibiti mkoani Pwani baada ya kutaka kumkwepa mtu mwenye tatizo la akili lakini halikufanikiwa kumkwepa limemgonga na kuacha njia na kupinduka na kusababisa kifo cha mtu mmoja aliyegongwa na wengine wajeruiwa.>>>>>PICHA NA CHANZO

Post a Comment

 
Top