VPL KUENDELEA LEO RATIBA HII 0 Michezo 07:45:00 A+ A- Print Email Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara ianatrajiwa kuendelea Leo jumatano kwa mchezo mmoja kupigwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam, kwa wenyeji JKT Ruvu kuwakaribisha vinara wa ligi hiyo timu ya Young Africans.
Post a Comment