0
  • Wakutana kwa mara ya kwanza na kufahamiana 
  • Serikali yaonyesha nia ya kufanya kazi pamoja
  • Baadhi za balozi zaonyesha ushirikiano
  • AMI group, Vodacom, na NMB wadhamini usiku huo



Mwenyekiti wa Umoja wa Mablogger Tanzania Joackim Mushi akiongea wakati wa hafla hiyo

Mgeni Rasmi wa usiku huo Katibu Mkuu wa Baraza la Habari Tanzania (MCT),Ndg. Kajubi Mukajanga akiongea na Mablogger  wakati wa sherehe


Mkurugenzi wa Masoko kwa Kampuni ya Simu ya Vodacom Tanzania ambao walikuwa mmoja wa wadhamini wa usiku huo ,Kelvin Twissa akizungumza machache
katika hafla hiyo. 

Mwakilishi kutoka US  Embassy akizungumza jambo na mbele  ya Wamiliki wa Blogs Tanzania,waliokutana pamoja leo kwa lengo la kufahamina na kuunganisha vyema umoja wao.


Mmoja wa Wakongwe kwa masuala ya kublog hapa nchini,Ankal Issa
Michuzi akifafanua jambo kwa wageni waalikwa toka Ubalozi wa Marekani
wakati wa sherehe hiyo

 Ras - Jhikoman akilia na wauwaji wa Albino


Baadhi ya wamiliki wa Blogs mbali mbali  wakiwa
kwenye picha ya pamoja na Mgeni Rasmi katika hafla maalum ya mwaka kwa
Tanzania Bloggers Network,iliyofanyika usiku wa tarehe 28/2/2015
kwenye Hoteli ya Serena Jijini Dar es salaam.

Mgeni Rasmi alipata wasaa wa kuzungumza na kupiga picha na baadhi ya Mablogger







Ndafu



Muda wa kutolea macho Camera na kubadilishana mawazo ulifika
  



  
    
   




   
  





Mambo ya Selfie yalianza




 



Muda muafaka kwa watu muafaka ulifika




Picha kwa hisani ya Mkala wa Kero nyingi na 

Post a Comment

 
Top