Nyumba hiyo ikiungua moto
Moja ya magari yaliyochomwa moto
Gari lingine lililochomwa moto
Majirani na wapita njia wakiangalia nje ya nyumba hiyo.
Picha na Gadiola Emmanul wa Tanzania Bloggers Network
Vurugu
kubwa zinaripotiwa kutokea leo maeneo ya Olasiti jijini Arusha baaada ya
habari ambazo bado kuthibitishwa rasmi zimeanza kufuatia mtu mmoja
kukuta mfanyakazi wake wa kike akiwa amelala na anayedaiwa kuwa mpenzi
wake ndani ya nyumba anayofanyia kazi.
Inasemekana
baba mwenye nyumba alikasirika sana kwa kitendo hicho na akampiga huyo
kijan hadi akafa. Ndipo marafiki wa huyo anayedaiwa kuuwawa
wakakusanyika nyumbani hapo na kuchoma moto nyumba na magari mawili
kabla askari wa kutuliza ghasia kufika na kupambana nao kwa masaa
kadhaa. Habari kamili na rasmi itawajia mara baada ya kupatikana
Post a Comment