0


ANGALIA VITUKO VYA WANAFUNZI WAKIWA KWENYE CHUMBA CHA MTIHANI
Image result for CHABO DARASANI 
JE HII TUIGE WATANZANIA?
Image result for CHABO DARASANI 
HII TZ
Image result for CHABO DARASANI
Image result for CHABO DARASANIHII STAILI KWA AKINADADA
Image result for CHABO DARASANISTAILI YA CHUONI
 
Image result for CHABO DARASANI
 
Duniani kuna mambo, hivi majuzi walimu wa shule moja (kapuni) barani Africa wamekuja na mbinu mbadala ya kuwadhibiti wanafunzi wasiopenda kusoma na kutegemea kupiga chabo darasani wakati wa mitihani. Baada ya walimu hao kuchoshwa na Tabia hiyo waliamua kubuni mbinu hii mbadala. Kwamba mwanafunzi anafungwa pende zote mbili na kubakizwa na balance ya kusoma kwenye karatasi yake tu. Inasemekana kuwa mbinu hii imeonekana kufanya kazi vizuri kwani wanafunzi hao baada ya kufanyiwa majaribio walishindwa kabisa kupata chance ya kupiga chabo....Je inatufaa pia watanzania?????? Na je mbinu hii in-reserve haki za binadanu????
Image result for CHABO DARASANI
NJIA HII INAWEZA KUSAIDIA KWA HAPA TANZANIA

Post a Comment

 
Top