Hapa ni kitengo cha habari za mambo ya mapishi
hapa ni kitengo cha habari za siasa
ndani ya chumba cha habari
hapa nipo walipoona ugumu hii ni sehemu ya Producation wengi walibaki kulishangaa mitambo tu
mtaalumu wa mambo ya producation akitoa maelezo jinsi ya kutengeneza gazeti
hapa ndipo magazeti yapotolewa baada ya kupitia hatua zote
huu ni mfano tu wa magazeti aliyoyatoa kwenye mashine
Hiki ni chumba cha mitambo ya producation
hapa ni kitengo cha habari za michezo na burudani ambapo wanachuo wengi walivutiwa na walifurahi na kupiga picha na mataalumu huyu
hii ni sehemu ya mapokezi afisa asilimali watu alipotambulisha kampuni ya Mwananchi communication
KIUKWELI WANACHUO WALIFURAHI KUTEMBELEA GAZETI LA MWANANCHI.
Ziara hii ilifanyika jana siku ya ijumaa katika ofisi za Gazeti la Mwananchi zilizopo Tabata jijini Dar es salaam pia baadhi ya viongozi wa gazeti hili walitoa ujumbe walisema "kazi ya uandishi wa habari ni ya kujituma na si ya lelemama pia inahitaji uvumilivu mkuwa ili kuweza kufanyikiwa".
















Post a Comment