0

Yanga Vs BDF XI FCMchezaji wa timu ya Yanga,Mrisho Khalfan Ngassa akiwania mpira na Mchezaji wa timu ya BDF XI FC ya nchini Botswana wakati wa mchezo wa Kombe la Shirikisho Barani Afrika uliopigwa kwenye uwanja wa Taifa jini Dar es salaam jana.Yanga imeshinda bao 2 - 0 zilizotiwa kimiani na Mshambuliaji Hamis Tambwe dakika ya kwanza ya mchezo na 55.
Yanga Vs BDF XI FC
Golikipa wa timu ya BDF XI FC ya nchini Botswana akiondosha hatari iliyokuwa ikielekezwa langoni mwake wakati wa Mchezo wa Kombe la Shirikisho Barani Afrika uliochezwa kwenye uwanja wa Taifa jini Dar es salaam .Yanga imeshinda bao 2 - 0.
Yanga Vs BDF XI FC

Winga machachari wa Yanga,Saimon Msuva akiangalia namna ya kumtoka beki wa timu ya BDF XI FC ya nchini Botswana,Othusitse Mpharitlhe wakati wa Mchezo wa Kombe la Shirikisho Barani Afrika ulipigwa kwenye uwanja wa Taifa jini Dar es salaam.Yanga imeshinda bao 2 - 0.
Yanga Vs BDF XI FC
Beki wa Yanga,Mbuyu Twite akirusha mpira kwa ustadi mkubwa.
Yanga Vs BDF XI FC
Mchezaji wa timu ya Yanga,Mrisho Khalfan Ngassa akiichezesha ngome ya timu ya BDF XI FC ya nchini Botswana katika mtanange wa Kombe la Shirikisho Barani Afrika ulipigwa kwenye uwanja wa Taifa jini Dar es salaam.
Yanga Vs BDF XI FC
Kiungo mchezeshaji wa timu ya Yanga,Haroun Niyonzima akichanja mbuga mbele ya mabeki wa timu ya BDF XI FC ya nchini Botswana katika mtanange wa Kombe la Shirikisho Barani Afrika ulipigwa kwenye uwanja wa Taifa jini Dar es salaam.
Yanga Vs BDF XI FC
huchukui mpira hapa.....
Yanga Vs BDF XI FC
Mashabiki wa timu ya Yanga wakishangilia katika mtanange wa Kombe la Shirikisho Barani Afrika ulipigwa kwenye uwanja wa Taifa jini Dar es salaam.
Yanga Vs BDF XI FC
Mashabiki wa timu ya Yanga wakishangilia katika mtanange wa Kombe la Shirikisho Barani Afrika ulipigwa kwenye uwanja wa Taifa jini Dar es salaam.
Yanga Vs BDF XI FC
Waamuzi wa mchezo wa Kombe la Shirikisho Barani Afrika ulipigwa kwenye uwanja wa Taifa jini Dar es salaam jana kati ya Yanga na 
BDF XI FC
.

Post a Comment

 
Top