0


mgambo liwale mkoani lindi wachoshwa na kalenda ya njoo njoo ya siku fulani kudai vyeti vya uhitimu mgambo toka tarehe 8/12/2014 baada ya mshauri wa mgambo wilaya hiyo kuwapiga njoo kesho.
 wanawake 20 waliohitimu mafunzo hayo ya mgambo katika kijiji cha Mbaya kata ya Mbaya wilayani Liwale


 hali ilikuwa hivi mbele ya mgeni rasmi mkuu wa wilaya ya Liwale mheshimiwa Ephraim Mmbaga

                                mkuu wa wilaya akitoa zawadi
Mkuu wa wilaya mheshimiwa Ephraim Mmbaga alipokuwa anafunga mafunzo hayo ya magambo katika viwanja wa mpira katika shule ya msingi Mbaya ilikuwa tarehe 8/12/2014.
(picha zote na liwale yetu blog)

Post a Comment

 
Top