Mwenyekiti wa chama cha wananchi cuf PROF.Ibrahim Lipumba,awahutubia maelfu ya wananchi kwa kuwashukuru wananchi kwa kuweza kuichagua cuf kwa kupata mitaa 5 na ccm kupata mtaa 1haya aliyasema jana katika viwanja vya makuu ya chama hicho Buguruni jijini Dar es salaam.
wananchi watulia kwa utulivu wakati alihutubia prof.Ibrahim Lipumba
wananchi waliohudhuria kwa wingi kuja kumsikiliza prof.Lipumba pia awasisitiza wananchi kujitokeza kwa wingi wakati wa kujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura
wananchi watulia kwa utulivu wakati alihutubia prof.Ibrahim Lipumba
Post a Comment