0
                                
                                boma la Mjerumani lililopo Liwale mkoani Lindi

Serikali yatakiwa kulinda majengo ya historia ya nchi yaliyopo Mikindani Mtwara na Liwale Lindi kwa kuyakarabati majengo hayo,jengo la mikindani zamani lilikuwa jengo kama kitukio cha kukusanyia ushuru na bandari ya kusafiria watumwa
                               .
                                             jengo la mikindani mtwara

Post a Comment

 
Top